Ubalozi wa Tanzania Qatar tayari umefunga mitambo ya E-Passport na E-visa na umeanza rasmi kutoa huduma hizo