Mhe. Paddy C. Ahenda, Balozi wa Kenya anaewakilisha Qatar atembelea Ubalozi wa Tanzania, Qatar na kubadilishana mawazo namna ya kuitangaza Jumuia ya Afrika Mashariki nchini Qatar.