UBALOZI UNAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA, WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IMEKAMILISHA MFUMO WA USAJILI WA “DIASPORA DIGITAL HUB” WA TANZANIA.

HIVYO, WATANZANIA WOTE WAISHIO NCHINI QATAR PAMOJA NA FAMILIA ZAO WAJISAJILI KWENYE MFUMO HUO KUPITIA TOVUTI IFUATAYO;

https://diaspora.foreign.go.tz/.


IMETOLEWA NA;

UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DOHA, QATAR
30 JANUARI, 2025