Mhe. Paddy C. Ahenda, Balozi wa Kenya na Mhe. Fatma M. Rajab, Balozi wa Tanzania, Qatar
Mhe. Paddy C. Ahenda, Balozi wa Kenya anaewakilisha Qatar atembelea Ubalozi wa Tanzania, Qatar na kubadilishana mawazo namna ya kuitangaza Jumuia ya Afrika Mashariki nchini Qatar.
Read More




