Mhe. Rasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan ameshiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa kimataifa awa kilimo cha mbogamboga na matunda uliofanyika Doha International Horticulture nchini qatar. Pamoja na mambo mengine Mhe. Rais amejionea jinsi kilimo cha mbogamboga kinavyofanyika kwa tekinolojia ya kisasa zaidi.
