KUNDI LA KWANZA LA MADEREVA WA KITANZANIA LAWASILI QATAR KWA AJILI YA KAZI
Tarehe 28 Julai 2025 kundi la madereva 28 wa Kitanzania, kati ya madereva 103 wa kundi la kwanza, limewasili katika Jiji la Doha tayari kuanza kazi zao katika Kampuni ya Mowasalat Karwa. Madereva hao ni sehemu…
Read More





