Walimu wa Kufunzi, Prof. Mange Manyama (Assistant Professor of Anatomy in Radiology) na Bw. Charles Msuya (Laboratory Manager) kutoka Chuo cha Weill Cornell Medicine Qatar wakitoa msaada wa Vitabu vya Masomo ya Utabibu kwa Mhe. Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar na Viongozi wa Ubalozi tarehe 5 Februari, 2024. Vitabu hivyo vitapelekwaTanzania kwenye Vyuo husika.