Balozi wa Tanzania nchini Qatar Mheshimiwa Fatma Rajab na Watanzania wa Qatar waadhimisha miaka 54 ya Muungano
Balozi Fatma Rajab akiwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Qatar
Watoto wa Kitanzania waishio Doha na wanafamilia wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo wakiwa kwenye mavazi ya utamaduni wa Tanzania wakati wa maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano.