Mhe. Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar akiwa na Bi. Latifa Khamis, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade) pamoja na Viongizi wa Taasisi mbalimbali, akiwemo Mr. Simon Alexander, Meneja Uendeshaji wa Lulu Group International, wakitembelea mabanda ya Tanzania kwenye Maonesho ya Kilimo (Agriteq) yaliyofanyika kuanzia tarehe 21 Februari 2024 hadi tarehe 27 Februari 2024.

