Mhe. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima (MP), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Riziki Pembe Juma (MHR), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar pamoja, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (MP), Mwenyekiti wa Mwanamke Initiatives Foundation na Mhe.Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar, wakitembelea Chuo cha Mayaya (Qatar Nanny Training Academy) tarehe 30 Januari 2024.
