Mhe. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima (MP), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Riziki Pembe Juma (MHR), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar wakiwa pamoja na Mhe.Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar na Viongozi wa Ubalozi tarehe 31 Januari, 2024.