Mhe. Lela Mohamed Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar pamoja na Mhe. Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar na Bw. Said Ahmed Said Al Busaidy, Mwenyekiti wa Diaspora, Qatar, wakishiriki kwenye Maonesho ya Majahazi yaliyofanyika kuanzia tarehe 28 Novemba 2023 hadi tarehe 2 Disemba 2023.