Mhe. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima (MP), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia ,Wanawake na Makundi Maalum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Riziki Pembe Juma (MHR), Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Zanzibar ,wakitembelea watoto wa Kituo cha ‘Shafallah’ Center for Children with Special Needs tarehe 30 Januari 2024.
