Mhe. Dr. Dorothy Onesphoro Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mhe. Riziki Pembe Juma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Zanzibar pamoja na Mhe. Habibu Awesi Mohamed, Balozi wa Tanzania nchini Qatar, wakiwa na Viongozi wa  Kituo cha “Protection and Social Rehabilitation Centre” (AMAN),  tarehe 30 Januari 2024.